Ezekiel 16:20-21

20 a“ ‘Nawe uliwachukua wanao na binti zako ulionizalia mimi na kuwatoa kafara kuwa chakula kwa sanamu. Je, ukahaba wako haukukutosha? 21 bUliwachinja watoto wangu na kuwatoa kafara kwa sanamu.
Copyright information for SwhKC